Kutokana na maandalizi yanayofanywa na serikali ya jamhuri ya muungano wa Tanzania wa kujenga bomba la gesi kutoka Mtwara kuelekea Dar, Vikwazo vimeanza kujitokeza baada ya wananchi wa mikoa ya kusini kugoma kuondolewa kwa gesi hiyo mpaka wajue maslahi ya watu wa kusini. Kauli mbiu ya maandamano hayo ni Ges kwanza Vyama baadae. kwa habari zaidi usikose kutembelea blog hii!!!
Picha za matukio mbalimbali ktk maandamano hayo Mtwara
No comments:
Post a Comment