Waziri
wa Uchukuzi,Dr Harisoni Mwakembe afanya ukakuguzi wa tiketi ilikubaini
mabasi yaliyotoza gharama kubwa za nauli za kusafiria katika kipindi cha
Xmass na mwaka mpya,badhi ya mabasi yalikamatwa na kuamuliwa kuwarudisha
nauli zilizozidi abiria wao. zoezi hilo limefanyika majira ya alfajiri
katika eneo la Visiga mkoani pwani na kila basi lilozidisha nauli
lilitozwa faini ya shilingi laki mbili na nusu.


No comments:
Post a Comment