Thursday, December 5, 2013

January Makamba Kuongea na Watanzania Jumapili hii

http://azizicompdoc.blogspot.com/

Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknologia, Mhe. January Makamba.
Jumuiya ya Watanzania DMV inapenda kuwakaribisha Watanzania wote siku ya Jumapili Desemba 8, 2013 Mhe. January Makamba atakapoongea na wana DMV na kutakuwa na kipindi cha maswali na majibu. mkutano huo utafanyikia Mirage Hall anuani ni 1401 university Blvd, Hyattsville, MD 20783 pia

Bw. Mayingu na msafara mzima wa kutoka mfuko wa pensheni watakuwepo kuelezea habari njema kutokana na mfuko huo.
Muda ni kuanzia saa 11 jioni na tunaomba tuzingatie muda. Vimiminika vyepesi na Vitafunwa vitakuwepo Karibuni sana na ukupata ujumbe huu tafadhali mtaarifu mwenzako.
Quantity : Add to Cart

No comments:

Post a Comment

Labels

Blogroll

Labels

About