Ni mechi kali ya kukata na mundu ambayo imewakutanisha watani hao wa jadi kushindania milioni 100 ambayo mpaka sasa simba anaongoza kwa magoli 3 na ni dakika ya 84 na kubakiwa na dakika 8 mkononi, je Yanga ataweza kurudisha? tufuatilie ktk Blog yetu uendelee kuhabarika
No comments:
Post a Comment