Ni
mechi kali ya kukata na mundu ambayo imewakutanisha watani hao wa jadi
kushindania milioni 100 ambayo mpaka sasa mpira umekwisha na simba ameapishwa rasmi kua mtani jembe baada ya kumfunga mtani wake mabao 3-0 ambayo imekua kama salaam kwao kwa msimu wa pili wa ligi unaokuja pamoja na wachezaji wengi waliokua simba kusajiliwa na Yanga. Blog yetu inapenda kutoa pongezi kwa timu ya Simba na pia kuwapa pole Timu ya Yanga SC Ahsanteni kwa kutufuatilia
No comments:
Post a Comment