Wednesday, August 13, 2014

DR POUL FAUSTIN KIHWELO ATELULIA KUA JAJI

http://azizicompdoc.blogspot.com/
Dr. Paul Faustin Kihwelo ateuliwa na Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania kua Jaji, uteuzi huo utatekelezwa mara moja baada ya majaji wote walioteuliwa kuapishwa kesho Ikulu jijini Dar es salaam, Kabla ya uteuzi huo Dr. Paul Faustin Kihwelo alikua Mhadhir ktk Chuo Kikuu Huria cha Tanzania ktk kitivo cha sheria na pia ni wakili wa kujitegema.
Quantity : Add to Cart

1 comment:

  1. Hongera sana Dr Mungu akuzidishie hekima katika majukumu mapya

    ReplyDelete

Labels

Blogroll

Labels

About