Wednesday, September 10, 2014

VIFARU NAVYO VYAINGIA KTK AJALI ZA BARABARANI LINDI KUELEKEA MTWARA

http://azizicompdoc.blogspot.com/Ajali nyingine yatokea barabara ya kutokea Lindi kuelekea Mtwara iliyosababishwa na kifaru No.018 APC mali JWTZ kikosi no.83 REGET na kuua wanajeshi watatu na raia mmoja aliyetambulika kwa jina la Somoe  Hassan Kamtaule, makonde mwenye miaka 75,mkulima wa Mnolela lindi aliyekuwa ndani ya nyumba hiyo baada ya kifaru kujaribu kukwepa lori la mabomba ya gesi na kuivamia nyumba hiyo iliyokuwa pembezoni. Kifaru hicho kikiendeshwa MT 99241 Priv.Shadhil Nandonde   pia ajali hiyo imewajeruhi wanajeshi 5 ambao ni 1.MT 10744 Pr.Simon Edward, 2.MT.106842 pr.Feruz Haji,  3.MT 1077263 Pr.Omary Makao, 4.MT.99018 Pr.Mbaruk Duchi,  5.MT.107442 Pr.Simon Masele 6.MT.107218 Pr.Ndekenya

Quantity : Add to Cart

No comments:

Post a Comment

Labels

Blogroll

Labels

About