Sunday, October 12, 2014

NAFASI ZA KAZI SERIKALINI KWA WATANZANIA WENYE SIFA

http://azizicompdoc.blogspot.com/

Sekretariati ya Ajira katika Utumishi wa Umma ni chombo ambacho kimeundwa kwa
mujibu wa Sheria ya Utumishi wa Umma Na. 8 ya mwaka 2002 kama ilivyorekebishwa
na Sheria Na. 18 ya mwaka 2007 kifungu 29(1). Kwa mujibu wa Sheria hiyo, chombo hiki,
pamoja na kazi zingine kimepewa jukumu la kutangaza nafasi wazi za kazi zinazotokea
katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Waajiri (Taasisi za Umma).
Katibu wa Sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi wa Umma anakaribisha maombi kwa
Watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi 87 za kazi kwa ajili ya wakala wa
vipimo kama zilivyorodheshwa katika tangazo hili. Kwa maelezo zaidi Bofya hapa
Quantity : Add to Cart

No comments:

Post a Comment

Labels

Blogroll

Labels

About