Feature Post

Seacrh By Labels

Friday, June 2, 2017

Sunday, October 12, 2014

NAFASI ZA KAZI SERIKALINI KWA WATANZANIA WENYE SIFA

No comments:
http://azizicompdoc.blogspot.com/

Sekretariati ya Ajira katika Utumishi wa Umma ni chombo ambacho kimeundwa kwa
mujibu wa Sheria ya Utumishi wa Umma Na. 8 ya mwaka 2002 kama ilivyorekebishwa
na Sheria Na. 18 ya mwaka 2007 kifungu 29(1). Kwa mujibu wa Sheria hiyo, chombo hiki,
pamoja na kazi zingine kimepewa jukumu la kutangaza nafasi wazi za kazi zinazotokea
katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Waajiri (Taasisi za Umma).
Katibu wa Sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi wa Umma anakaribisha maombi kwa
Watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi 87 za kazi kwa ajili ya wakala wa
vipimo kama zilivyorodheshwa katika tangazo hili. Kwa maelezo zaidi Bofya hapa

Friday, September 19, 2014

POLISI YAWASHAMBULIA WAANDISHI WA HABARI NA WAFUASI WA CHADEMA JIJINI DAR

No comments:

Polisi washambulia waandishi wa habari wakitawanya wafuasi wa Chadema.
Siku moja baada ya makamu wa rais dkt mohamed ghalib bila kuhimiza mahusiano mema wakati wa utendaji kazi baina ya vyombo vya ulinzi na usalama na vyombo vya habari jeshi la polisi likiwa na silaha pamoja na mbwa limekiuka kauli hiyo kwa kuwapiga na kuwajeruhi baadhi ya waandishi wa habari na kuwazuia kutekeleza wajibu wao wakati mwenyekiti wa Chama cha demokrasia na maendeleo Chadema alipowasili katika makao makuu ya jeshi hilo kwa mahojiano. Bofya hapa kuona Video

Kauli hiyo ya makamu wa rais imeshindwa kutekelezwa kutokana na tukio lililotokea majira ya saa 5 na dk 15 asubuhi wàkati mwenyekiti wa chadema taifa Mhe. Freeman Mbowe alipowasili makao makuu na askari wa polisi  kutaka kuzuia gari alilopanda kuingia ndani ya lango kuu pamoja na waandishi wa habari na watu wengine kuamriwa kuondoka katika eneo hilo agizo lililopingwa na waandishi wa habari na baadhi ya wanasheria wa Chadema.

Kufuatia na kutolewa kwa ilani hiyo jeshi la polisi kikosi cha kutuliza ghasia-FFU- kilianza kupiga waandishi wa habari pamoja na baadhi ya wananchi huku wengine wakikimbia kuhofu vipigo toka kwa askari hao ambapo baaadhi ya waandishi walioumizwa sehemu mbalimbali ya mihili yao.
Akiwatangazia wafuasi waliokuwa wakikataa kuondoka katika maeneo hayo mwanasheria wa chadema mhe. Tundu lissu licha ya kuwahakikishia kuwa mwenyekiti wa chama hicho taifa Mhe.

 Freeman Mbowe yuko salama amewataka kuondoka katika eneo hilo na kurudi majumbani ili kuepusha vurugu na misongamano ambayo ingeweza kusababisha matatizo zaidi.
Aidha azizi computer doctor Blog imeshuhudia mwenyekiti wa Chadema taifa Mhe Freeman Mbowe akitoka makao makuu ya jeshi la polisi akisindikizwa na ulizni mkali wa jeshi la polisi kuelekea katika ofisi za makao makuu ya chama hicho baada ya kukamilika kwa taratibu za kipolisi.

Thursday, September 18, 2014

IUFRO2014 Blog Competition

No comments:

How to Enter and Win

  • Write a blog article that introduces your research or project and how it relates to the overall Congress theme “Sustaining Forests, Sustaining People – The Role of Research”. See the FAQ’s for what makes a good blog post.
  • Submit your blog posting with a maximum word count of 750 along with any photos to blog@iufro.org in a .doc or .docx  file with the subject line “IUFRO2014 Blog Competition”.
  • Ensure to include a caption and credit for any photos submitted.
  • Entries must be received by 30th September 2014 (23:59hrs +12 GMT).
  • To increase your chances of winning, post your story on Twitter with the hashtags #IUFRO2014 and #RoleOfResearch, and encourage friends to comment, “like” and “share” your post on Facebook, and retweet your post on Twitter. The more views, comments, and votes your article receives the greater your chance of winning.
  • The winner who has the most popular article submitted to the #IUFRO2014 Blog Competition will receive a cash prize in the sum of USD 500.
  • Two additional finalists will be selected according to the article they submitted based on a popularity ranking with the most page views, comments and highest votes. These persons will receive a copy of “Forests and Globalization: Challenges and Opportunities for Sustainable Development“.

Wednesday, September 10, 2014

VIFARU NAVYO VYAINGIA KTK AJALI ZA BARABARANI LINDI KUELEKEA MTWARA

No comments:
http://azizicompdoc.blogspot.com/Ajali nyingine yatokea barabara ya kutokea Lindi kuelekea Mtwara iliyosababishwa na kifaru No.018 APC mali JWTZ kikosi no.83 REGET na kuua wanajeshi watatu na raia mmoja aliyetambulika kwa jina la Somoe  Hassan Kamtaule, makonde mwenye miaka 75,mkulima wa Mnolela lindi aliyekuwa ndani ya nyumba hiyo baada ya kifaru kujaribu kukwepa lori la mabomba ya gesi na kuivamia nyumba hiyo iliyokuwa pembezoni. Kifaru hicho kikiendeshwa MT 99241 Priv.Shadhil Nandonde   pia ajali hiyo imewajeruhi wanajeshi 5 ambao ni 1.MT 10744 Pr.Simon Edward, 2.MT.106842 pr.Feruz Haji,  3.MT 1077263 Pr.Omary Makao, 4.MT.99018 Pr.Mbaruk Duchi,  5.MT.107442 Pr.Simon Masele 6.MT.107218 Pr.Ndekenya

Wednesday, September 3, 2014

TAHADHARI YA WIZI KTK MTANDAO WA INTERNET

No comments:
http://azizicompdoc.blogspot.com/

Napenda kuchukua fursa hii kama kijana ninaefahamu suala hili kuweza kuwazindua usingizini wenzangu ambao hamlifahamu suala hili kwani likikukuta bila kufahamu waweza haribu maisha yako kwa makosa ya muda mchache, hawa ni wezi wa mtandao wanaorubuni watu kua wanataka kuwatumia pesa na ukithubutu kuwapa Akaunt zako za benk basi umekwisha. kwa mfano wa wizi huo soma email hapo chini waliyonitumia mimi na kwa kua nafahamu nini wanafanya nikaamua nitumie kama mfano kukuelimisha mwenzangu na msomaji wa blog hii.

Dear Friend,

I am Mr. Daney Green, a lawyer and solicitor at law,i wish to place your name as the beneficiary to £9.8m (GBP), Pounds due to the death of my late client the depositor who died 5th of November 2005 along with his family.

If you are very interested, contact me through my email address so I can appraise you with further details. I assure you that I have all the requirements to execute this claim legitimately. Please also note that this fund was deposited in Diamond Finance House London, BUT has been moved to a bank in China for transfer

Note,that for your assistance,our sharing percentage will be 50/50 and on hearing from you i shall furnish you with more details on what next to do.

Await your quick response,
Mr.Daney Green

From: Daney Green <daney.green299@live.com>

DIAMOND APONEA CHUPU CHUPU UJERUMANI

No comments:
http://azizicompdoc.blogspot.com/
Usiku wa Jumamosi Agosti 30, 2014, majira ya saa 10 alfajiri, mwanamuziki nyota wa Bongo Flavor, Nasib Abdul maarufu kama Diamond Platnumz alijikuta katika hali ya hatari hadi kuokolewa na Polisi mjini Stuttgart, Ujerumani, baada ya washabiki waliokuwa na hasira kuchoka kusubiri show.

Sehemu ya ukumbi ulioharibiwa vibaya na washabiki mjini Stuttgart, Ujerumani.
Sehemu ya ukumbi ulioharibiwa vibaya na washabiki mjini Stuttgart, Ujerumani.
Mashabiki hao waliokuwa wamelipa tiketi euro 25 kwa kiingilio walihadiwa kuwa show ingeanza saa 4.00 usiku, lakini walijukuta wakisubiri hadi majira ya saa 10 alfajiri ndipo mwanamuziki Diamond alipoletwa jukwaani na promota wake raia wa Nigeria anayejiita Britts Event.
Hapo ndipo washabiki walipoona kuwa hawakutendewa haki walianza kurusha chupa na kutaka kumvamia mwanamuziki Diamond na promota wake, Kilichowakera zaidi washabiki ni pamoja na vyombo vibovu vilivyofungwa katika ukumbi huo kitu ambacho kiliwafanya mashabiki kuvunja hadi vyombo vya muziki, ma-Djs walishambuliwa na wapo hospitalini kwa sasa.

Mmoja wa Djs hao alipoteza lap top yake, mwanadada DJ Flor alipatwa mstuko wa moyo na kukimbizwa hospitali, washabiki hao walimpa kipigo DJ Drazee naye yupo hoi hospitali. Polisi nchini Ujerumani wanamesema tukio hili la aibu halijawahi kutokea, kuwa msanii kuchelewa kufika jukwaani kwa Ujerumani ni kitu cha hatari kwani washabiki wa Ujerumani wanaheshimu sana muda wao.
Diamond Platnumz akiwapagawisha mashabiki wake katika moja ya maonyesho yake.
Diamond Platnumz akiwapagawisha mashabiki wake katika moja ya maonyesho yake.
Mpaka sasa polisi wanamsaka mwandaaji wa onyesho hilo na wamesema wanachunguza thamani ya hasara iliyosababishwa na ghasia hizo na pia itamfungulia mashataka promota huyo raia wa Nigeria ambaye pia anachunguzwa kwa kujihusisha na mtandao fulani wa biashara.

Labels

Blogroll

Labels

About