Aliyekuwa Mbunge wa Arusha Mjini (Chadema), Godbless Lema leo ameshinda rufaa ya kesi yake.
Mahakama imejiridhisha kuwa
madai ya udharirishaji hayakuathiri uchaguzi wala mlalamikaji (CCM).
Tangu sasa Lema ni mbunge halali wa Jimbo la Arusha Mjini kwa tiketi ya
Chadema. CCM wameamriwa kulipa gharama za kesi hii tangu ilipofunguliwa
mpaka ilipoishia!
No comments:
Post a Comment