Pages

Saturday, February 15, 2014

UHAMIAJI WATANGAZA NAFASI ZA KAZI



Kamishna Mkuu wa Uhamiaji anatangaza nafasi za kazi katika Idara ya Uhamiaji. Nafasi hizo ni Mkaguzi Msaidizi wa Uhamiaji, Koplo wa Uhamiaji na Konstebo wa Uhamiaji. Bofya hapa kuona nafasi zilizotangazwa

No comments:

Post a Comment