HABARI MPASUKO: HALI SI SHWARI MSIMBATI MKOANI MTWARA
MKUU WA MKOA WA MTWARA (MH SIMBA KALIA)
Gari la usalama wa taifa pajero limebondwa mawe na kuchomwa moto msimbati
usiku huu,inasadikika kijana mmoja jina kapuni mzaliwa wa msimbati kazi
sikio alienda na gari msimbati na kumshawishi bibi mwenye msimbati asie
taka gasi itoke na kumtaka kumchukua bibi kwendanae dar,ghafla
akazingukwa na watu pale nyumbani wakaanza kumburuza akakimbilia kusiko
julikana.baba wa huyu jamaa jina kapuni anaishi pale ligula polisi wamemwagwa kijijini Msimbati, wazee kadhaa wa kimila wamepigwa sana.
Related Product :
Why Shop on Bongo Online?
We make your shopping experience easy and exciting with our multiple payment options, amazing deals and unbeatable prices. You may pay on delivery or online with your Mobile Money. We fulfill your orders within the estimated time frame at your preferred location. We are committed to serving you, and your satisfaction is of utmost importance to us. Rest assured that for a wonderful shopping experience, Bongo Online Shop is the best place to be
0 comments:
Post a Comment