Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiangalia vitabu vya masomo katika maktaba ya shule mpya ya Sekondari ya Mlimani Matemwe muda mfupi baada ya kuifungua rasmi jana.Kulia ni Ofisa mwandamizi kutoka ofisi ya Benki ya Dunia nchini anayeshughulikia masuala ya elimu Bwana Nobuyuki Tanaka na kushoto ni Mwalimu mkuu wa Shule hiyo Mohamed Mzee Choum.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete,Makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Iddi(kulia) na Afisa mwandamizi kutoka
katika kitengo cha elimu katika ofisi ya Benki ya Dunia nchini Bwana
Nobuyuki Tanaka wakikata utepe wakati wa hafla ya ufunguzi wa Shule ya
Sekondari ya Mlimani Matemwe
huko Zanzibar jana.Shule hiyo imejengwa kwa ushirikiano kati ya
Serikali ya Mapinduzi Zanzibar na Benki ya Dunia. Picha na Freddy Maro wa
Ikulu
0 comments:
Post a Comment