
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akizindua jengo la Kitivo cha Sayansi katika Chuo Kikuu cha Kiislamu mjini Morogoro leo

Rais Kikwete akipeana mikono na Bw Ahmed Saggaf

Rais Kikwete akitembelea moja ya vyumba vya maabara

Rais Jakaya Kikwete akipata maelezo ya ujenzi wa jengo la kitivo cha TEKNOHAMA katika Chuo Kikuu cha Kiislamu cha Morogoro

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akizindua jengo la Kitivo cha Sayansi katika Chuo Kikuu cha Kiislamu mjini Morogoro leo

Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akikata utepe kuzindua jengo la Kitivo cha Sayansi
katika Chuo Kikuu cha Kiislamu mjini Morogoro leo.

Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia katika sherehe za uzinduzi wa jengo la
Kitivo cha Sayansi katika Chuo Kikuu cha Kiislamu mjini Morogoro leo

Rais Kikwete akiendelea na hotuba huku akishangiliwa.


Makamu Mkuu wa Chuo Profesa Hamza Mustafa Njozi akisoma ripoti ya chuo kwa Rais Kikwete.

Sehemu ya wanafunzi na wageni waalikwa.

Sehemu ya wanafunzi.

Rais
Jakaya Mrisho Kikwete katika picha ya pamoja na uongozi wa chuo katika
sherehe za uzinduzi wa jengo la Kitivo cha Sayansi katika Chuo Kikuu cha
Kiislamu mjini Morogoro leo.

Profesa Juma Mikidadi Mtupa akikaribishwa kupata picha na mheshimiwa

Picha na wahadhiri

0 comments:
Post a Comment