Mahafali ya 19 ya chuo cha
Uandishi wa Habari Dar es Salaam (DSJ) yamefanyika ijumaa ya desemba 13
mwaka huu ambapo wahitimu katika ngazi za stashahada na cheti kwenye
fani ya uandishi wa habari na mawasiliano ya umma, na mahuasiano ya umma
wamehitimu.
Tazama picha za baadhi ya matukio wakati wa mahafali hayo yaliyofanyika kwenye ukumbi wa Msimbazi Center jijini Dar es Salaam.
Tazama picha za baadhi ya matukio wakati wa mahafali hayo yaliyofanyika kwenye ukumbi wa Msimbazi Center jijini Dar es Salaam.
Mgeni rasmi akiwa katika meza kuu na Mkuu wa chuo, pamoja na viongozi wengine wa chuo na viongozi wa Serikali ya wanafunzi.
Kutoka kushoto ni Fabian, Dotto Mandolin Kahindi, Abushehe Nondo, Benjamin Mwangoka.
Wahitimu wakiwa katika mahafali hayo.
Rais Mstaafu wa DASJOSO Alfred Ochali akisoma risala.
Mkuu wa Chuo cha DSJ, Joachim Rupepo akitoa hotuba yake na kumkaribisha mgeni rasmi kutoa nasaha zake.
Wahitimu wakiwa wanasikiliza kwa umakini hotuba kutoka kwa mgeni rasmi.
Kutoka kushoto ni Anifa, Grace, Zourha na Cartace ambao pia walikuwa wahitimu katika mahafali hayo.
Wahitimu wakiwa wanatunukiwa.
Wahitimu wakiwa wanatoa mkono wa Shukurani baada ya kutunukiwa vyeti katika ngazi mbalimbali.
Wahitimu wakiwa wanatoa mkono wa Shukurani baada ya kutunukiwa vyeti katika ngazi mbalimbali.
Wahitimu wakiwa katika pozi baada ya kumaliza mahafali.
Baadhi ya wahitimu wakiwa katika picha ya pamoja na ndugu zao.
Kutoka kushoto ni Elizabeth Lazaro akiwa na Jackline Marandu ambao pia ni wahitimu.
Wageni waalikwa wakiwa wanafuatilia kwa makini kinacho endelea katika mahafali hayo.
Kwaito time.
0 comments:
Post a Comment