![]() |
| Waanzilishi wa Creative Commons Tanzania ambayo inajihusisha na mambo mbalimbali ya kijamii, kubadilishana mawazo, kuzifanyia kazi fursa zilizopo na kubuni mifumo itakayowawezesha watanzania kufikia malengo yao, wakiwa ktk picha ya pamoja na kiongozi wa cc africa Bw Frank watatu kushoto waliokaa ktk viti kutokea Uganda |
![]() |
| Mnoja wa waanzilishi wa cc Tanzania Bw Emmanuel Thomas akichangia |
![]() |
| Mnoja wa waanzilishi wa cc Tanzania Bw Abdulazizi Mnyengema akichangia |
![]() |
| Prof Bisanda akipokea zawadi kutoka kwa kiongozi mkuu wa cc Tanzania Dr Poul Kiwelu |
![]() |
| Waanzilishi wa cc Tanzania wakifurahia kufanikiwa kwa cc Tanzania |
View detail













