Saturday, November 24, 2012

KILIMANJARO STARS YAWASILI UGANDA SALAMATimu ya kandanda Tanzania bara, Kilimanjaro Stars, ikiwasili ktk uwanja wa ndege wa Entebe nchini Uganda tayari kwa mashindano ya CECAFA Senior Challenge yanatarajiwa kutimua kivumbi kuanzia leo ktk uwanja wa Mandela jijini Kampala

Quantity : Add to Cart

No comments:

Post a Comment

Labels

Blogroll

Labels

About