Wednesday, January 9, 2013

USTADH KINYOPE AFARIKI DUNIA LINDI

 
R.I.P Ustaadh ''Kinyope'' 

Wamfahamu huyu? ni mtu aliyejitolea kwa ajili ya allah kwa kila alichokijua na maisha yake yalikua ni msikitini tuu!!! allah amlaze mahala pema peponi!!
Kafariki Sokoine Hosp anazikwa leo saa 10 Makaburi ya Bomolea,Lindi!!
Quantity : Add to Cart

1 comment:

  1. allah amlipe kwa matendo yake tena akiwa na mapungufu ya akili

    ReplyDelete

Labels

Blogroll

Labels

About