Friday, February 1, 2013

MAGUFULI ALIPA DARAJA HILI JINA LA KIKWETE BRIDGE (DARAJA LA MTO MALAGALASI)

 Daraja hili la Mto Maragalasi au (KIKWETE BRIDGE) linalojengwa kwa msaada na serikali ya Korea Liliwekwa jiwe la msingi na Rais Jakaya Kikwete Mwaka 2011  na linatarajiwa kukamilika mwaka huu Hivyo ndivyo linavyoonekana mpaka jana wakati napita toka Tabora kwenda Kigoma kwa gari. 
Quantity : Add to Cart

No comments:

Post a Comment

Labels

Blogroll

Labels

About