Thursday, March 28, 2013

Balozi mpya wa UAE Mhe.Abdulla Ibrahim Al Sowaidi awasilisha hati zake za utambulisho kwa Rais Kikwete leo


Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akipokea hati za utambulisho kutoka kwa balozi mpya wa Muungano wa Falme za Kiarabu UAE,Mhe.Abdulla Ibrahim Al Sowaidi ikulu jijini Dar es Salaam leo.Katikati anayeshuhudia ni Mkuu wa Itifaki Balozi Mohamed Juma Maharage
Quantity : Add to Cart

No comments:

Post a Comment

Labels

Blogroll

Labels

About