Katika kuhakikisha Tunatoa huduma kwa kuwafikia wananchi wote kwa
kiwango kinachotakiwa, tumefanikiwa kupata Gari mpya kwa kituo cha
lindi, na tunajipanga zaidi kua na jengo la kwetu ktk mkoa huo ili
tuwahudumie ipasavyo wananchi wa lindi na wao wafaidike zaidi na huduma
zetu
Mwonekano wa gari hiyo kwa mbele
Mwonekano wa gari hiyo kwa ubavuni
Mwonekano wa gari hiyo kwa mbele
Mwonekano wa gari hiyo kwa nyuma
0 comments:
Post a Comment