Saturday, June 22, 2013

AZIZI COMPUTER DOCTOR YATOA HUDUMA YA BURE KUTUMA SMS DUNIA NZIMA KUPITIA BLOG YAKEI

Bofya palipoandikwa SEND SMS kwa rangi nyekundu kutuma sms bure dunia nzima kupitia blog hii, Baada ya kuona watanzania wengi wanaishi kwa chini ya dola 1 kwa siku, AZIZI COMPUTER DOCTOR imeamua kutoa huduma hii bure kwa kila mtanzania na asiye mtanzania kokote duniani atembeleapo blog hii! Mungu ibariki Tanzania, Mungu mbariki ABDULAZIZI S. MNYENGEMA mmiliki wa Blog hii kwa kuitumia elimu yake kwa faida ya watanzania wote na mashabiki wa blog hii popote duniani
Quantity : Add to Cart

No comments:

Post a Comment

Labels

Blogroll

Labels

About