Welcome to our online store Portal

Template Information

Wednesday, November 6, 2013

AJALI MBAYA YA BODA BODA JIJINI MWANZA (Tahadhari picha hizi ni za kutisha)


Watu wawili wamefariki dunia papo hapo wilayani Bukombe mkoani Geita wakitumia usafiri wa bodaboda kufuatia pikipiki waliyokuwa wakisafiria kuteleza kwenye mchanga ikiwa kwenye mwendo kasi na kisha kukanyagwa vibaya vichwani na gari aina ya Noah ambayo walikuwa wakipishana nayo.

Kwa mujibu wa shuhuda wa tukio hilo, dereva wa bodaboda ambaye alikuwa na abiria wake mwanamke mwenye mizigo, alikuwa katika mwendo wa kasi.

Hatua kadhaa kabla ya kupishana na gari hilo, matairi ya pikipiki yake yalishindwa kuhimili mchanga uliopo barabarani ndipo alipokosa uwiano wa kumiliki chombo hicho cha usafiri na kuteleza kisha wakaanguka katikati ya barabara.

Sekunde chache gari la abiria aina ya Noah ambalo mpaka shuhuda huyo anaondoka kwenye tukio la ajali hakufanikiwa kulinasa namba zake likiwa kwenye kasi liliwapitia vichwani dereva wa bodaboda na abiria wake ambao walikufa papo hapo.




-Gsengo.

Related Product :

0 comments:

Post a Comment

Why Shop on Bongo Online?

We make your shopping experience easy and exciting with our multiple payment options, amazing deals and unbeatable prices. You may pay on delivery or online with your Mobile Money. We fulfill your orders within the estimated time frame at your preferred location. We are committed to serving you, and your satisfaction is of utmost importance to us. Rest assured that for a wonderful shopping experience, Bongo Online Shop is the best place to be

About

Swissgear Smart Bag

468x60 Ads

HIDDEN CAMERA

Support : tzamaizing@gmail.com | Tzamaizing Template | +255 653 33 29 24
Copyright © 2015. AZIZI COMPUTER DOCTOR - All Rights Reserved
Template Created by Tzamaizing Published by Tzamaizing
Proudly powered by Bongo Online Shop