DSC_0661
Katibu Mkuu Wizara ya Katiba na Sheria Bw. Fanuel Mbonde akiongea katika kikao chake na  Viongozi wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora hivi karibuni wakati wa ziara yake katika taasisi hiyo iliyopo mtaa wa Luthuli jijini Dar es salaam. Kushoto niMwenyekiti wa Tume hiyo Mhe. Jaji Kiongozi (Mstaafu), Amiri Manento na Katibu Mtendaji wa Tume Bi. Mary Massay. Lengo la ziara hiyo ni kufahamiana, kubadilishana mawazo na kukumbushana mambo muhimu.
DSC_0673
DSC_0662
Katibu Mtendaji wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora Bi. Mary Massay akijibu baadhi ya hoja zilizotolewa na Katibu Mkuu Wizara ya Katiba na Sheria Bw. Fanuel Mbonde na Viongozi wa Tume hiyo hivi karibuni jijini Dar es salaam.
DSC_0668
Kamishna wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora Mhe. Bernadetta Gambishiakichania hoja wakati wa kikao na Katibu Mkuu Wizara ya Katiba na Sheria Bw. Fanuel Mbonde na Viongozi wa Tume hivi karibuni jijini Dar es salaam.
(Picha zote Ofisi ya Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora)