Sunday, December 8, 2013

CREATIVE COMMON'S YAANZISHWA TANZANIA KWA MARA YA KWANZA

Waanzilishi wa Creative Commons Tanzania ambayo inajihusisha na mambo mbalimbali ya kijamii, kubadilishana mawazo, kuzifanyia kazi fursa zilizopo na kubuni mifumo itakayowawezesha watanzania kufikia malengo yao, wakiwa ktk picha ya pamoja na kiongozi wa cc africa Bw Frank watatu kushoto waliokaa ktk viti kutokea Uganda
Mnoja wa waanzilishi wa cc Tanzania Bw Emmanuel Thomas akichangia
Mnoja wa waanzilishi wa cc Tanzania Bw Abdulazizi Mnyengema akichangia
Prof Bisanda akipokea zawadi kutoka kwa kiongozi mkuu wa cc Tanzania Dr Poul Kiwelu
Waanzilishi wa cc Tanzania wakifurahia kufanikiwa kwa cc Tanzania

Quantity : Add to Cart

No comments:

Post a Comment

Labels

Blogroll

Labels

About