Sunday, December 1, 2013

Emmanuel Msuya Aibuka na Millioni 50 za Epiq Bongo Star Search

http://azizicompdoc.blogspot.com/ Baada ya miezi kadhaa hatimaye mrithi wa Walter Chilambo apatikana usiku huu saa 9:40 na kumfanya mshindi huyo ajinyakulie Millioni 50 za Epiq Bongo Star Search na kubadilisha hali ya kifedha kwa kijana huyo. Shukrani kubwa zatolewa kwa wadhamini wa shindano hilo Zantel Tanzania.Quantity : Add to Cart

No comments:

Post a Comment

Labels

Blogroll

Labels

About