Saturday, December 21, 2013

NANI MTANI JEMBE? SIMBA ANAONGOZA 3 YANGA 0 DK YA 84

http://azizicompdoc.blogspot.com/
Ni mechi kali ya kukata na mundu ambayo imewakutanisha watani hao wa jadi kushindania milioni 100 ambayo mpaka sasa simba anaongoza kwa magoli 3 na ni dakika ya 84 na kubakiwa na dakika 8 mkononi, je Yanga ataweza kurudisha? tufuatilie ktk Blog yetu uendelee kuhabarika
Quantity : Add to Cart

No comments:

Post a Comment

Labels

Blogroll

Labels

About