Friday, December 13, 2013

SHEREHE ZA MIAKA 50 YA UHURU KENYA ZAHUDHURIWA NA MARAIS MBALIMBALI


unnamed (4)
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete(kulia) wakihudhuria sherehe za miaka 50 ya Uhuru wa Kenya zilizofanyika katika uwanja wa Michezo wa Kasarani mjini Nairobi leo.Kushoto ni Mwenyeji Rais Wa Kenya Uhuru Kenyatta.Watatu kushoto ni Naibu Rais Wa Kenya William Ruto,Watano Kushoto ni Waziri Mkuu wa Ethiopia Haile Mariam Desalegn, na Rais Pierre Nkurunzinza wa Burundi na mkewe.(picha na Freddy Maro).
unnamed (6)
Quantity : Add to Cart

No comments:

Post a Comment

Labels

Blogroll

Labels

About