Wednesday, December 11, 2013

UZUSHI WA TAARIFA ZA KIFO CHA MZEE SMALL

http://azizicompdoc.blogspot.com/
Kutokana na taarifa zilizoenea ktk mitandao mbalimbali za kumuelezea mzee smal kua amefariki, zimekanushwa na yeye mwenyewe kupitia simu ya mkononi na kuwaomba watanzania wamuombee dua badala ya kutangaza taarifa za uongo na uzushi za kifo chake
Quantity : Add to Cart

No comments:

Post a Comment

Labels

Blogroll

Labels

About