Friday, January 17, 2014

PINDA ATOA POLE KWA WAKULIMA


IMG_0017
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na viongozi wa wilaya ya Kiteto baada ya kuwasili wilayani humo  Januari 16, 2014  kufuatilia suala la mauaji ya wakulima. (Picha na Ofisi ya  Waziri Mkuu).
IMG_0030
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na wanakijiji wa  Mtanzania Januari 16, 2013 wakati alipokwenda kuwapa pole kufuatia uvamizi waliofanyiwa  na watu wanaosadikiwa kuwa wafugaji ambao waliua watu watatu  na kuchoma nyumba . Kulia kwake ni Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Erasto Mbwilo. 
IMG_0042
Baadhi ya wananchi wa Kiteto  wakimsikiliza  Waziri Mkuu , Mizengo Pinda wakati alipowahutubia  Januari 16, 2014 katika mji wa Kibaya alipokwenda kuwapa pole wakulima wa wilaya hiyo  ambao walishambuliwa, kuuwawa na nyumba zao kuchomwa moto na  watu wanaosadikiwa kuwa  ni wafugaji.
IMG_0050
IMG_0059
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiagana na wazee  wa Kiteto wakati alipoteta nao baada ya kuhutubia  mkutano wa hadhara katika mji mdogo wa Kibaya Janauari 16, 2014. Alikwenda Kiteto kuwapa pole wakulima  ambao walishambuliwa na watu wanaosadikiwa kuwa ni wafugaji ambao waliua na  kuchoma moto nyumba.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
IMG_0063
Quantity : Add to Cart

No comments:

Post a Comment

Labels

Blogroll

Labels

About