CHADEMA CHAPATA PIGO TENA, VIONGOZI WAKIHAMA

CHADEMA CHAPATA PIGO TENA, VIONGOZI WAKIHAMA
http://4.bp.blogspot.com/-2DWO0SjDTNs/UwIK3eqPp0I/AAAAAAAADko/DEFdS7ix-Ew/s72-c/chad.jpg
http://azizicompdoc.blogspot.com/

Aliekuwa katibu wa Jimbo la UBUNGO Bwana ALLY MAKWILLO na katibu kata wa kata ya Manzese Bwana DOTTO MHANDO na katibu mwenezi Jimbo la Ubungo wamejiunga na Cuf leo hii.

Pia aliekuwa M/KITI wa Chadema Wilaya ya NACHINGWEA Bwana Jodan Membe na KATIBU wa Wilaya ya TANDAHIMBA wamejiunga na Cuf.
Hoja ya usaliti yazidi kukitafuna chadema Makwillo aeleza mazito yaliyomo ndani ya chadema matumizi mabovu ya pesa ubaguzi,udini ndio tatizo cdm.
Apanga kuzunguka Jimbo zima kueleza UDHAIFU wa J.Mnyika asema mpaka sasa ni mwaka moja tu uliobaki kabla ya uchaguzi Mnyika ametekeleza AHADI zake kwa 10% hivyo hakuna sababu ya kuendelea kumchagua mbunge, kauli ya aliyekua katibu wa jimbo lake
Share this product :

Post a Comment

 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Copyright © 2011. AZIZI COMPUTER DOCTOR - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Mas Template
Proudly powered by Blogger