![]() |
| Muonekano wa Apartment kwa karibu nje mbele |
![]() |
| Muonekano wa Apartment hizo kwa pembeni Nje |
![]() |
| Apartment hizo zimetenganishwa na Bwawa la kuogelea |
![]() |
| Pembezoni mwa Apartment hizo kuna Bustani nzuri ya maua na nyasi zinazopendezesha mandhari |
![]() |
| Bwawa la kuogelea likionekana kwa karibu na Apartment hizo kwa wenye kupenda kuogelea |
![]() |
| Lift kwa ajili ya kukurahisishia kupanda ghorofa moja baada ya nyingine |
![]() |
| Apartment hizo ktk muonekano wa ndani |
![]() |
| Ukiwa ndani unaweza kuyaona mandhari ya nje kwa vizuri pia |
![]() |
| Mandhari ya Apartment hizo kwa ndani juu |
![]() |
| Mandhari ya vyoo vya Apartment hizo |
![]() |
| Jacuzzi maalumu na lenye ubora ktk bafu za Apartment hizo |
![]() |
| Muonekano wa Jacuzzi kwa nje |
![]() |
| Muonekano eneo la jiko la Apartment hizo |
![]() |
| Muonekano mzuri wa mandhari ya Apartment hizo |
![]() |
| Muonekano wa Bwawa la kuogelea kwa karibu |
![]() |
| Bustani nzuri ya nyasi na maua inayopendezesha mandhari |
![]() |
| Eneo la kuegeshea magari ambalo liko chini ya Apartment hizo (Underground Parking) |
![]() |
| Apartment hizi ni mpya ambazo hazijawahi kukaliwa kabisa |



















0 comments:
Post a Comment