RIDHIWAN KIKWETE AMTOLEA UVIVU RUGE WA CLOUDS FM

RIDHIWAN KIKWETE AMTOLEA UVIVU RUGE WA CLOUDS FM
http://1.bp.blogspot.com/-csvZ_FcLkAg/Uv9Myiy2JaI/AAAAAAAADkY/DZmoDRNZxXs/s72-c/RID.png

Kiukweli si jambo la busara kwa Ruge kuzungumza kwa watu mafanikio ya msanii Lady Jaydee kwa madai
Kuhusu kukopa kila mtu anakopa haijalishi ...unawadhifa gani, nchi yetu yenyewe inakopa hivyo sidhan kama ni tatizo kwa mtu kama Lady Jaydee kujiunga katika taasisi yangu na kupewa mkopo.
kua maonesho yake hayana kipato cha juu na kudai kua ameshuka kimuziki hivyo ameamua kujiunga na Taasisi yangu ya SOCIAL CREDIT COMPANY amepata mkopo wa kumalizia nyumba yake.
Sidhani kama mawazo ya RUGE yalikua sahihi. Naomba mmalize tofauti zenu na muwe mnashirikiana katika kazi za sanaa. Amani itawale kwenu"
Awali mwanadada Lady Jay dee alifunguka kupitia kurasa yake ya facebook kuhusiana na story zilizozagaa mjini zinazovumishwa na Ruge Mutahaba{Meneja wa Redio Clouds fm} juu ya yeye kufilisika kisanaa na kushindwa kuingiza kipato kinachoweza kumkidhi kwenye mipango yake ya kimaisha katika hilo
Share this product :

Post a Comment

 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Copyright © 2011. AZIZI COMPUTER DOCTOR - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Mas Template
Proudly powered by Blogger