| Huyu ni Mwl Myengema akiwa ktk maulid ya shukran kwa Allah kumjaalia kumaliza kazi yake ya ualimu salama ingawa alikutana na mambo kadhaa kazini |
| Huyu ni Mwl Myengema akiwa na mama yake mzazi Bi Aikama nyumbani kwake Ng'apa Lindi |
| Huyu ni Mwl Myengema akiwa na mama yake mzazi Bi Aikama na mumewe kipenzi Alhaj Said Ahmad Mnyengema nyumbani kwa mama yake Ng'apa Lindi |
| Huyu ni Mwl Myengema akiwa na Mumewe Kipenzi akimpa hongera ya kustaafu salama na kumkumbuka allah kwa wema aliomtendea |
| Huyu ni Mwl Myengema akiwa na mwanawe wa kwanza wa kiume Mr. Abdulazizi Mnyengema (Computer Doctor) |
| Kaka ndugu na shemeji wa Mwl Mnyengema wakimuunga mkono Mwl kwa maulid ya shukran aliyofanya |
| Mwanafunzi wa Madrasa akitoa daaawah kama ilivyokua kazi ya Mwl Mnyengema |
| Shekh mkuu wa Lindi ambaye pia ni khadh wa mkoa akiwa pamoja na Ummat muhamad kumpongeza Mwl Mnyengema kwa kustaafu salama na kumkumbuka allah kwa yote |
No comments:
Post a Comment