
Balozi wa Tanzania
nchini UAE, Mheshimiwa Mbarouk Nassor Mbarouk na Mkuu wa Itifaki wa
UAE, Mheshimiwa Shihab Al Faheem (kulia) wakiwa wamesimama wakati wimbo
wa Taifa wa Tanzania ukipigwa.

Mheshimiwa Balozi akiwasilisha salaam kutoka kwa Mheshimiwa Rais wa Tanzania na kujitambulisha rasmi.
Balozi Mbarouk
Nassor Mbarouk akiwasilisha Hati za Utambulisho kwa Mtukufu Sheikh
Mohammed bin Rashid Al Makhtoum, Makamo wa Rais wa UAE, Waziri Mkuu na
Mtawala wa Dubai, kwenye kasri ya Al Mushrif, mjini Abu Dhabi, UAE.

No comments:
Post a Comment