Meneja
Mikopo wa BankABC, Eugenia Shayo akikabidhi sehemu ya vifaa 100 vya
kubebea taka kwa Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Yusuph Mwenda vyenye
thamani ya sh milioni 3.5.
Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Yusuph Mwenda akizungumza na waandishi wa habari, mara baada ya kukabidhiwa vifaa hivyo.
Manispaa
ya Kinondoni imekabidhiwa vifaa 100 vya kutunzia taka na benki ya
BankABC vyenye thamani ya shilingi milioni 3.5 leo Dar es Salaam.
Akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kupokea vifaa hivyo,
Meya wa Manispaa hiyo, Yusuph Mwenda amesema Manispaa yake itahakikisha
usafi unazingatiwa na mkazi atakayebainika kutupa taka ovyo atachukuliwa
hatua kali ikiwemo kumtoza faini ya kuanzia shilingi 50,000 mpaka
10,000 “Hii ni kampeni maalumu
0 comments:
Post a Comment