Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknologia, Mhe. January Makamba.
Jumuiya ya Watanzania DMV
inapenda kuwakaribisha Watanzania wote siku ya Jumapili Desemba 8, 2013
Mhe. January Makamba atakapoongea na wana DMV na kutakuwa na kipindi cha
maswali na majibu. mkutano huo utafanyikia Mirage Hall anuani ni 1401
university Blvd, Hyattsville, MD 20783 pia
Bw. Mayingu na msafara mzima wa kutoka mfuko wa pensheni watakuwepo kuelezea habari njema kutokana na mfuko huo.
Muda ni kuanzia saa 11
jioni na tunaomba tuzingatie muda. Vimiminika vyepesi na Vitafunwa
vitakuwepo Karibuni sana na ukupata ujumbe huu tafadhali mtaarifu
mwenzako.
0 comments:
Post a Comment