Welcome to our online store Portal

Template Information

Monday, December 10, 2012

Upinzani wapinga ushindi wa Rais Mahama

Harakati za uchaguzi nchini Ghana 
Chama cha upinzani nchini Ghana kimepinga matokeo rasmi ya uchaguzi mkuu wa urais ambayo yalimpa ushindi rais John Mahama.
Tume ya uchaguzi ilisema kuwa bwana Mahama alishinda kwa asilimia hamsini na saba ya kura na kuondoa uwezekano wa kufanyika duru ya pili ya uchaguzi huo dhidi ya mpinzani wake Nana Akufo-Addo aliyepata asilimia 47 ya kura.
Chama cha upinzani New Patriotic Party, kimedai kutokea wizi wa kura na kusema kitafanya mkutano hapo keshi kuamua hatua watakazochukua.
Ghana imejipa sifa ya kuwa nchi yenye demokrasia thabiti barani Afrika na moja ya nchi zinazokuwa kwa kasi kubwa barani Afrika.
Kwa upande wake rais Mahama aliwataka watu kuheshimiana kufuatia matangazo ya kura ambayo yalimpa ushindi.
Hapakuwa na ripoti zozote za ghasia Jumatatu asubuhi baada ya matangazo ya uchaguzi huo uliokuwa na ushindani mkali kutangazwa siku ya Jumapili.
Furaha na nderemo zilijaa punde baada ya matangazo, huku mamia ya watu wakijitokeza kuonyesha furaha yao kwa ushindi wa rais Mahama.

Related Product :

0 comments:

Post a Comment

Why Shop on Bongo Online?

We make your shopping experience easy and exciting with our multiple payment options, amazing deals and unbeatable prices. You may pay on delivery or online with your Mobile Money. We fulfill your orders within the estimated time frame at your preferred location. We are committed to serving you, and your satisfaction is of utmost importance to us. Rest assured that for a wonderful shopping experience, Bongo Online Shop is the best place to be

About

Swissgear Smart Bag

468x60 Ads

HIDDEN CAMERA

Support : tzamaizing@gmail.com | Tzamaizing Template | +255 653 33 29 24
Copyright © 2015. AZIZI COMPUTER DOCTOR - All Rights Reserved
Template Created by Tzamaizing Published by Tzamaizing
Proudly powered by Bongo Online Shop