Thursday, February 14, 2013

UMATI WA WATU WALIOHUDHURIA MAZISHI YA MWANAZUONI SHEIKH NASSOR ABDALLAH BACHUMakamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad, Masheikh mbali mbali
na mamia ya wananchi wa Zanzibar, akiwa katika mazishi ya Mwanazuoni na mhadhiri
maalum Zanzibar na eneo la Afrika Mshariki, Sheikh Nassor Abdallah Bachu huko katika
viwanja vya Mnazimmoja mjini Zanzibar jana. Alizikwa jana kijijini kwao Donge,
Wilaya ya Kaskazini 'B', Mkoa wa Kaskazi
Quantity : Add to Cart

No comments:

Post a Comment

Labels

Blogroll

Labels

About