Friday, March 1, 2013

COMPUTER DOCTOR ATARAJIA KUTEMBELEA MIKOA YA LINDI NA MTWARA KUIUNGA RASMI KTK MKONGO WA TAIFA


KTK KUHAKIKISHA WATANZANIA WOTE WANAKUA NA ELIMU YA TECHNOHAMA, KUANZIA TAR 02/03/2013 - 07/03/2013 NITAKUA LINDI KIKAZI NA TAR 08/03/2013 - 16/03/2013 NITAKUA MTWARA KIKAZI. NITAHAKIKISHA KILA KONA TUNAWAFIKIA. NIUNGENI MKONO WATANZANIA WENZANGU KUHAKIKISHA MIKOA YOTE TUNAWAFIKIA.
Quantity : Add to Cart

No comments:

Post a Comment

Labels

Blogroll

Labels

About