Tuesday, March 26, 2013

MUONEKANO WA KIWANDA CHA CEMENT CHA LINDI UTAKAVYOKUA

Hivi ndivyo Kiwanda cha Cement cha Lindi kitakavyokua. Wanalindi watarajia mafanikio makubwa baada ya kiwanda hiki kumalizika na kukidhi matarajio ya wana Lindi. Lengo la wanalindi laweza kua limefikiwa au laa kwa wakazi walindi kusomesha watoto wao na kukabiliana na fursa  zilizopo na kuhakikisha wananufaika na kiwanda hiki kwa kila fursa!!
Quantity : Add to Cart

No comments:

Post a Comment

Labels

Blogroll

Labels

About