Friday, May 3, 2013

MATOKEO YOTE YA KIDATO CHA NNE MWAKA JANA YABATILISHWABreaking News:Kutoka Bungeni Dodoma tunaarifiwa kuwa baada ya matokeo ya kidato cha nne kuwa mabaya mwaka jana,hatimaye serikali imekubali mapendekezo ya awali ya tume ya uchanguzi ya matokeo ya kidato cha nne ya mwaka jana kufutwa na kusahihishwa upya kupitia mfumo wa usahihishaji wa mwaka 2011 haraka iwezekanavyo.
Quantity : Add to Cart

No comments:

Post a Comment

Labels

Blogroll

Labels

About