BAKHRESA AIONYESHA SERIKALI KUA ANAWEZA BILA KUWEZESHWA

BAKHRESA AIONYESHA SERIKALI KUA ANAWEZA BILA KUWEZESHWA
http://4.bp.blogspot.com/-p9xloBIQbgU/UdUextxDH3I/AAAAAAAAB-M/hOkl_fxzkIc/s72-c/az1.jpeg
Eneo la mapokezi ya abiria linavyoonekana kwa nje lililojengwa Zanzibar kwa ufadhili wa Bakhresa
 Tajiri nambari moja Tanzania na wa 30 Afrika  Said Salim Bakhesa ameidhihirishia Serikali ya Tanzania kua ana uwezo wa kufanya mabadiliko makubwa ktk nchi yake kwa kuamua kuliendeleza eneo la bandari ya Zanzibar kutokana na serikali hiyo kushindwa kuliendeleza eneo hilo kutokana na hali ya kifedha kua mbaya na kuamua kumkabizi mfanya biashara huyo mkubwa Tanzania na Afrika na kweli ameonyesha anaweza,
Ufadhili huo ni pamoja na Jengo kwa ajili ya watu wa TRA, Mamlaka ya Bandari ZNZ, Polisi, Uhamiaji maduka na ofisi mbalimbali kwa matumizi ya serikali. Kwa kweli serikali ilifanya uamuzi wa busara kumkabizi mzawa bandari hii na hatuna budi kuiunga serikali mkono kwa hili na kujitahidi kumuamini zaidi mzawa kuliko wawekezaji wanaohamisha mali zetu kila kukicha na kutuacha tukiwa duni kila siku.

Eneo la Bandari ya Zanzibar linavyoonekana kwa nje lililojengwa Zanzibar kwa ufadhili wa Bakhresa

Eneo la kupumzikia abiria lililopo bandari ya zanzibar kwa ufadhili wa Bakhresa

Share this product :

Post a Comment

 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Copyright © 2011. AZIZI COMPUTER DOCTOR - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Mas Template
Proudly powered by Blogger