Tuesday, July 16, 2013

CHADEMA KUFUTWA KAMA HAKITAFUATA MAAGIZO YA SERIKALI


Ofisi ya msajili wa vyama vya siasa chini ya mwenyekiti wake Bwana John Tendwa imesema imesikitishwa na Chama cha CHADEMA kuanzisha kambi za mafunzo ya ulinzi (Red Brigade).
Ofisi hiyo ya msajili imekitaka chama cha CHADEMA kuachana na mpango wa mafunzo ya vikundi mara moja vinginevyo ofisi hiyo itakichukulia hatua kali, na hatua hiyo ni kukifutia usajili moja kwa moja chama hicho cha siasa.

Taarifa iliyotolewa kwa vyombo vya habari imewataka wale wote wanaosema kuwa CCM inavyo vikundi vya ulinzi, wapeleke ushahidi huo na wao kama wasajili wa vyama vya siasa watakifungia bila kusita.
Quantity : Add to Cart

No comments:

Post a Comment

Labels

Blogroll

Labels

About