Thursday, September 26, 2013

KENYA YAPATA PIGO JINGINE

Magaidi Tena Kenya, walipua kituo cha polisi, waua watu watatu, magari 11 yachomwa
Taarifa zilizotufikia hivi punde zinaeleza kuwa watu wanaozaniwa kuwa ni magaidi wamevamia kituo cha
Polisi katika Mji wa Mandera nchini Kenya na kuwaua polisi wawili, watatu wamejeruhiwa vibaya na baadaye kuchoma magari zaid ya 11.Tufuatilie tuzidi kukuhabarisha
Quantity : Add to Cart

No comments:

Post a Comment

Labels

Blogroll

Labels

About