Katibu
Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Ndugu Abdulrahman Kinana akiwahutubia
wananchi katika viwanja vya Sokoni Bombambili mjini Songea jana wakati wa
ziara yake ya kikazi katika mkoa wa Ruvuma, akikagua utekelezaji wa
ilani ya uchaguzi ya chama cha mapinduzi na kukagua miradi mbalimbali ya
maendeleo ikiwa ni pamoja na kuhamasisha wananchi kushiriki shughuli za
maendeleo na kuhimiza uhai wa chama.
Katibu wa NEC Itikadi, Siasa na Uenezi akiwahutubia wakazi wa mjini Songea leo kwenye viwanja vya Sokoni Bombambili leo Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Ruvuma Bw. Oddo Mwisho akizungumza na wakazi wa Songea jana.
Mmoja wa wasanii akitumbuiza wananchi katika mkutano huo.
Katibu wa NEC Itikadi, Siasa na Uenezi akiwahutubia baadhi ya wananchi waliohudhuria katika mkutano huo jana
Baadhi ya wananchi waliohudhuria katika mkutano huo leo
Katibu
Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza na
wanafunzi wa vyuo elimu ya juu vya mjini Songea na walimu katika mkutano
uliofanyika kwenye ukumbi wa chuo cha ushirika na biashara.Kulia ni
Nape Nnauye Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi
Mmoja wa wanafunzi akitoa kero za wanafunzi hao kwa niaba ya wenzake katika mkutano
huo. Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Ndugu Abdulrahman Kinana akisistiza jambo katika mkutano huo.
Dr.
Asha Rose Migiro Katibu wa NEC Siasa na Uhusiano wa Kimataifa
akiwasalimia wanafunzi wa vyuo vya elimu ya juu katika mkutano
uliofanyika katika ukumbi wa Biashara na Ushirika mjini Songea .
Baadhi ya wanafunzi wakimsikiliza Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana.
Baadhi ya wanafunzi wakimsikiliza Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana.
0 comments:
Post a Comment