Welcome to our online store Portal

Template Information

Wednesday, November 27, 2013

MAGAVANA NA WAFANYA BIASHARA KUTOKA CHINA WAKUTANA NA WAZIRI MKUU


PG4A6602
 Waziri  Mkuu, Mizengo  Pinda akipokea zawadi ya chai kutoka kwa   Bing Zhingang, Makamu  Gavana wa  wa jimbo la  Liaoning nchini China baada ya kuzungumza na ujumbe wa Magavana kutoka China, Ofisinni kwake jijini Dar es salaam, Novemba 26, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
PG4A6616
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akitazama zawadi ya picha aliyozawadiwa na  Makamu Gavana  wa jimbo la  Shaanxi , Bibi  Wang Lixia baada ya mazungumzo yake na ujumbe wa Magavana  kutoka China Ofisini kwake jijini Dar es salaam Novemba 26, 2013.
PG4A6638
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akipokea zawadi ya mapambo kutoka kwa Jackerson Yan  ambaye ni  Mkurugenzi na Meneja Mkuu wa  Gulf Development and Investment Group wakati alipokutana  na ujumbe wa Magavana  na  wafanyabiashara kutoka China, Ofisini kwake jijini Dar es salaam.
PG4A6670
 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akimkabidhi zawadi ya picha Bw. Xia Geng,  kiongozi wa ujumbe wa Magavana kutoka China baada ya kuzungumza na magavana hao, ofisini kwake jijini Dar es salaam.
PG4A6681
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akimkabidhi zawadi ya Kinyago  ,Bw. Xia Geng,  kiongozi wa ujumbe wa Magavana kutoka China baada ya kuzungumza na magavana hao, ofisini kwake jijini Dar es salaam.
PG4A6705
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akizungumza na  Jackerson Yan  ambaye ni  Mkurugenzi na Meneja Mkuu wa  Gulf Development and Investment Group wakati alipokutana  na ujumbe wa Magava na wafanyabiashara kutoka China, Ofisini kwake jijini Dar es salaam, Novemba 26, 2013. Katikati ni balozi wa China nchini, Lu Youqing.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Related Product :

0 comments:

Post a Comment

Why Shop on Bongo Online?

We make your shopping experience easy and exciting with our multiple payment options, amazing deals and unbeatable prices. You may pay on delivery or online with your Mobile Money. We fulfill your orders within the estimated time frame at your preferred location. We are committed to serving you, and your satisfaction is of utmost importance to us. Rest assured that for a wonderful shopping experience, Bongo Online Shop is the best place to be

About

Swissgear Smart Bag

468x60 Ads

HIDDEN CAMERA

Support : tzamaizing@gmail.com | Tzamaizing Template | +255 653 33 29 24
Copyright © 2015. AZIZI COMPUTER DOCTOR - All Rights Reserved
Template Created by Tzamaizing Published by Tzamaizing
Proudly powered by Bongo Online Shop