Sunday, November 24, 2013

MAKAMU WA RAIS AKABIDHI TUZO KWA WANAOBORESHA AFYA YA MAMA NA MTOTO


01
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisoma hotuba yake wakati wa hafl ya kutoa Tuzo kwa Watanzania walio mstari wa mbele katika kuboresha Afya ya Mama na Mtoto, iliyofanyika kwenye Viwanja vya Karimjee Jijini Dar es Salaam jana. (Picha na OMR)
02
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt. Mohammed Gharib Bilal,akimkabidhi Tuzo, Mwnyekiti wa Makampuni ya IPP, Regnald Mengi, wakati wa hafla ya utoaji wa Tuzo kwa Watanzania walio mstari wa mbele katika kuboresha Afya ya Mama na Mtoto, iliyofanyika kwenye Viwanja vya Karimjee, jijini Dar es Salaam. Katikati ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Uwekezaji na Uwezeshaji, Dkt. Mary Nagu.
02B
03
 
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,akimkabidhi Tuzo,Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Uwekezaji na Uwezeshaji, Dkt. Mary Nagu, aliyepokea kwa niaba ya Rais Mstaafu wa awamu ya Pili, Ali Hassan Mwinyi, wakati wa hafla ya utoaji wa Tuzo kwa Watanzania walio mstari wa mbele katika kuboresha Afya ya Mama na Mtoto, iliyofanyika kwenye Viwanja vya Karimjee, jijini Dar es Salaam.
04
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt. Mohammed Ghari Bilal, akimkabidhi Tuzo, Dkt. Faraji Mkwakwacha, wakati wa hafla ya utoaji wa Tuzo kwa Watanzania walio mstari wa mbele katika kuboresha Afya ya Mama na Mtoto, iliyofanyika kwenye Viwanja vya Karimjee, jijini Dar es Salaam. Katikati ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Uwekezaji na Uwezeshaji, Dkt. Mary Nagu. 
05
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt. Mohammed Gharib Bilal,akimkabidhi Tuzo, Nesi Yasinta Baruti, kutoka Mkoa wa Katavi, wakati wa hafla ya utoaji wa Tuzo kwa Watanzania walio mstari wa mbele katika kuboresha Afya ya Mama na Mtoto, iliyofanyika kwenye Viwanja vya Karimjee, jijini Dar es Salaam. Katikati ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Uwekezaji na Uwezeshaji, Dkt. Mary Nagu.
06
 
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt. Mohammed Gharib Bilal,akimkabidhi Tuzo, Elia Elikana, kutoka mkoa wa Singida ambaye ni mwanaume aliyepata tuzo hiyo kwa kumsindikiza mkewe Kliniki mara nyingi, wakati wa hafla ya utoaji wa Tuzo kwa Watanzania walio mstari wa mbele katika kuboresha Afya ya Mama na Mtoto, iliyofanyika kwenye Viwanja vya Karimjee, jijini Dar es Salaam. Katikati ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Uwekezaji na Uwezeshaji, Dkt. Mary Nagu.
07
Picha ya pamoja na baadhi ya viongozi wa Taasisi ya Madaktari wahitimu Tanzania na waliopata Tuzo.
Quantity : Add to Cart

No comments:

Post a Comment

Labels

Blogroll

Labels

About