Sunday, November 24, 2013

AFANDE SELE ARUDISHA KADI YA CHADEMA NA KUMUUNGA MKONO ZITTO

http://azizicompdoc.blogspot.com/
Kutokana na maamuzi ya cha CHADEMA ya kumvua uongozi Mh Zitto Kabwe na wenzie watatu na kujiuzuru kwa naibu makamu mkuu wa Chama hicho bara, msanii maarufu nchini Afande Sele ambae aliingia ktk chama hicho karibuni  ili kujiandaa kugombea ubunge mjini morogoro 2015 ameamua kurudisha kadi ya chama hicho baada ya kuona kimepoteza muelekeo na kutosema anaelekea chama gani kwa sasa mpaka pale atakapotangaza rasmi. Kutokana na maamuzi ya chama hicho toka kianze kuwafukuza viongozi wake wa juu nchini kimeanza kupoteza wanachama 400 vijana wa ruvuma na kuingia CCM na kinaendelea kupoteza muelekeo ule ambao ilikua nao na kuwafanya wanachama wengi wa chama hicho kua na hofu na chama chao. Kwa habari zaidi kuhusu suala hili tembelea blog hii
Quantity : Add to Cart

No comments:

Post a Comment

Labels

Blogroll

Labels

About