Thursday, November 21, 2013

MWAKYEMBE, NCHIMBI WAAMUA KUSHIRIKIANA KIUTENDAJI

PIX 1

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk Emmanuel Nchimbi (kushoto-meza kuu) akizungumza na Watendaji Wakuu wa wizara yake pamoja na wa Wizara ya Uchukuzi katika Kikao cha utendaji kazi cha kuimarisha uhusiano kati ya wizara hizo kilichofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi jijini Dar es Salaam. Kulia (meza kuu) ni Waziri wa Uchukuzi, Dk Harrison Mwakyembe. (Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.)
PIX 2
Waziri wa Uchukuzi, Dk Harrison Mwakyembe (kulia-meza kuu) akizungumza na Watendaji Wakuu wa wizara yake pamoja na wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi katika Kikao cha utendaji kazi cha kuimarisha uhusiano kati ya wizara hizo kilichofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi jijini Dar es Salaam. Kushoto (meza kuu) ni Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk Emmanuel Nchimbi. Picha na (Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi).
PIX 3
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk Emmanuel Nchimbi akizungumza na Watendaji Wakuu wa wizara yake pamoja na wa Wizara ya Uchukuzi (hawapo pichani) katika Kikao cha utendaji kazi cha kuimarisha uhusiano kati ya wizara hizo kilichofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi jijini Dar es Salaam. Kulia ni Waziri wa Uchukuzi, Dk Harrison Mwakyembe.
 (Picha zote na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi).
Quantity : Add to Cart

No comments:

Post a Comment

Labels

Blogroll

Labels

About